Audio: Leddychombo - Happybirthday; Sikiliza na pakua nyimbo hii hapa.


Leddychombo ni msanii wa kizazi kipya anaye fanya shughuli zake za Muziki chini ya lebo ya T.F.M (The Fire Man Inc). Msanii huyo ameieleza the King of News kuwa anashukuru kwa T.F.M kuweza kuzisimamia kazi zake swala ambalo linamfanya aweze kufanya kazi zake kwa urahisi zaidi.

Comments

Popular posts from this blog

PHOTOS: Diamond Platnumz Back in the Day When Times Were Hard