JE WAJUA: DROGBA NDIYE MWANASOKA ANAEMILIKI MJENGO UNAOGHARIMU PESA NYINGI KULIKO WANASOKA WOTE DUNIANI. 2015
1.Didier Drogba $21million
Mjengo huu wa Didier Drogba umekuwa ni mjengo wa kwanza kugharimu pesa nyingi kuliko mijengo ya wanasoka wote ulimwenguni ($.21million) ambapo rekodi hii ilishikiliwa na mwingereza David bekham($.20milion). Tazama wanaofatia.
02. David Beckham ($ 20million)
03.Wayne Rooney - $17.83million
4. Frank Lampard $10million
5. John Terry- $7million
6. Cristiano Ronaldo (6 million)
7. Lionel Messi - $.5 Million
9. Andres Iniesta - $4.6million
10: Kaka's home in Madrid ($.3million)
Comments
Post a Comment