SAD NEWS; MFALME WA SAUD ARABIA 'ABDULLAH BIN ABDULAZIZ"AFARIKI DUNIA.
Mfalme wa Saudi Abdullah bin Abdulaziz amefariki dunia akiwa hospitalini .
King Abdullah, amefariki dunia akiwa na miaka 90, alilazwa hospitalini kwa wiki kadhaa tangu December mwaka jana kutokana na maambukizi kwenye njia ya hewa.
Tamko la kifo kusariki kwa mfalme Abdallah zimetolewa na kaka wa mfalme huyo aitwaye , Salman, ambaye naye aliwahi kuwa mfalme wa nchi hiyo.
Mfalme huyo aliingia madarakani mwaka 2005 lakini alikuwa ni dhaifu mwenye kushambuliwa na maradhi mara kwa mara.
Comments
Post a Comment