ZAMBIA; UCHAGUZI KUFANYIKA LEO.


Uchaguzi wa Zambia unaofanyika leo ikiwa ni baada ta aliyekuwa rais wa nchi hiyo Michael Sata kufariki dunia.


Uchaguzi huu ambao wagombea wake ni dgar ELungu,Hakainde Hichilema,Edith Nawakwi Nevers Mumba na Guy Scott ambao wote wana miaka zaidi ya 50.


 Bw, Guy Scott mzambia mwenye asili ya scotland ambaye aliteuliwa kuwa rais wa mpito baada ya kifo cha Michael Sata, muda mrefu tangu miaka ya 90 Scott amekuwa akijihusisha na siasa huku akihama chama kimoja kwenda kingine hata akajiunga na chama cha Patriotic Front (PF) akiwa mgombea mweza wa Sata,.

Hata hivyo husiano mgombea Bw Scot na Edgar Lungu si mzuri.Tofauti zao zilidhihirika baada ya Scott kumuondoa Lungu kwenye nafasi yake ya Katibu Mkuu.

Comments