Sikiliza na Pakua Wimbo wa Fortune alomshilikisha Sajna



Fortune ni msanii kutoka Mwanza ambaye ameingia katika game ya muziki wa kizazi kipya na amefanikiwa kureckodi ngoma yake ya kwanza akimshirikisha msanii maarufu Sajna katika song lake linalokwenda kwa jina la NITAMPATAJE
Msanii huyo amesema kwake ni fahari kubwa sana na hatua nzuri inayomtia moyo kuwa siku moja atafikia malengo yake.

[hulkplayer code="2ozyuvlsgqo0"]

Comments

Popular posts from this blog