SAD NEWS: Tanzanian Raper John Woka Died.
Kifo chake kimetokea baada ya kulipukiwa na mtungi wa gesi ndani ya gari lake alilokuwa akilitengeneza katika moja ya gerage zilizopo sinza.
Daktari wa muhimbili alipolazwa marehemu alisema kuwa vipande vya vyuma viliruka na kutoboa kichwan hali iliyosababisha damu nyingi kuvuja na kuvujia ubongo.
Mungu Ilaze Roho ya Marehemu Mahali pema Peponi.
Comments
Post a Comment